April 28, 2025

Day

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amesema Mkutano wa Kundi la Majadiliano la Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (AGN) ni muhimu kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla kwani utajadili mambo mbalimbali ikiwemo matumizi ya nishati safi ya kupikia. Amesema mkutano huo pia, utawaunganisha Waafrika zaidi ya milioni 300 katika matumizi...
Read More