April 30, 2025

Day

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja ametoa wito kwa mataifa ya Afrika kuwa na umoja wenye sauti moja yenye nguvu ili kuwa na sauti moja katika mazungumzo ya mabadiliko ya tabianchi. Ametoa wito huo wakati akifunga Mkutano wa Kundi la Majadiliano la Afrika (AGN) tarehe 30 Aprili 2025 uliofanyika Zanzibar ambapo...
Read More