Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.Mha.Hamad M.Y Masauni ameongoza ujumbe wa Tanzania kutembelea kampuni ya Hafslund Celsion, kampuni inayojishughulisha na ukusanyaji na utengenishaji wa Taka katika Mainispaa ya Oslo nchini Norway. Katika Ziara Hiyo Mhe Masauni aliambatana na Bi.Tone Tinnes, Balozi wa Norway nchini Tanzania pamoja na Maafisa kutoka...Read More