Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNCHR) imezindua Mradi wa Kujenga Uwezo wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi katika Mazingira ya Mkoa wa Kigoma. Mradi huo wenye thamani ya Dola za Kimarekani milioni 19 (zaidi ya shilingi bilioni 51), unafadhiliwa...Read More