Blog

Waziri Masauni akutana na wadau wa biashara ya kaboni kutoka Korea

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amekutana na kufanya mazungumzo na wadau wa Biashara ya Kaboni kutoka nchini Korea ambao wameonesha nia ya kuja kuwekeza nchini katika biashara hiyo. Kikao hicho kimefanyika Dar es Salaam, Julai 15, 2025 ambapo Waziri Masauni amesema ujio wa wadau […]

Naibu Waziri Khamis: Biashara ya Kaboni yazaa Bilioni 45/-

Serikali imesema miradi 73 ya Biashara ya Kaboni imesajiliwa, ipo katika hatua mbalimbali za utekelezaji ambapo tayari imeleta manufaa ya kiuchumi katika baadhi ya maeneo nchini huku shilingi bilioni 45 zimelipwa na kunufaisha wananchi katika halmashauri 10. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis ameliarifu Bunge jijini Dodoma […]