Mwongozo wa kitaifa wa biashara ya kaboni

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeandaa Mwongozo wa Kitaifa wa Biashara ya Kaboni kwa ajili ya kudhibiti na kusimamia biashara ya kaboni. Mwongozo huu unakusudia kutumia fursa zinazohusiana na biashara ya kaboni kulingana na taratibu zilizoainishwa katika Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi, Itifaki ya Kyoto, Makubaliano ya Paris na masoko huria ya miradi ya biashara ya kaboni.

MWONGOZO WA BIASHARA YA KABONI 02102022

Related Posts