News and Events

Category

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mha. Hamad Masauni amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Andreas Bjelland Eriksen – Waziri wa Hali ya Hewa na Mazingira wa Norway. Mazungumzo hayo yalilenga ushiriki wa Tanzania katika COP30 na majadiliano kuhusu taka za Plastiki, yalifanyika katika Ofisi za Wizara hiyo jijini Oslo, nchini Norway. Akizungumza...
Read More
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNCHR) imezindua Mradi wa Kujenga Uwezo wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi katika Mazingira ya Mkoa wa Kigoma. Mradi huo wenye thamani ya Dola za Kimarekani milioni 19 (zaidi ya shilingi bilioni 51), unafadhiliwa...
Read More
1 2 3 370