December 18, 2023

Day

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU USHIRIKI WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA KIMATAIFA WA MABADILIKO YA TABIA NCHI (COP 28) ULIYOFANYIKA DUBAI, UMOJA WA FALME ZA KIARABU KUANZIA 30/11/2023 HADI 12/12/2023 UTANGULIZI Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) imeshiriki katika Mkutano wa 28 wa nchi wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya...
Read More