March 12, 2025

Day

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amesema Serikali ya Tanzania itaendelea kujifunza na kupata uzoefu kutoka nchi mbalimbali kuhusu fursa zilizopo katika biashara ya kaboni. Waziri Masauni amesema hayo Machi 12, 2025), katika Mji wa Seoul nchini Korea Kusini wakati wa ziara yake ya kikazi...
Read More