May 2, 2025

Day

Warsha ya wadau wa biashara ya kaboni kwa lengo la kupata maoni yatakayowezesha kukusanya taarifa muhimu kwa ajili ya tathmini ya biashara ya kaboni nchini  imefanyika leo tarehe 02 Mei, 2025 Katika ofisi ya Kituo cha Kitaifa cha Kuratibu Kaboni yaani National Carbon Monitoring Centre (NCMC) hapa Morogoro. Wadau kutoka sekta binafsi, mashirikia yasiyo ya...
Read More